SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Nipo hapa naangalia feni nawaza j3 paper alafu kichwani empty set na kusoma sijisikii hata kufanya mapenzi sijisikii labda ninywe maziwa 😞😥🤠🤑🤑🤑🤑
Duh mkuu umenikumbusha kuna kipindi niliwahi fanya kazi hospitali,nilikua Nachukia night shifts0332hrs labour cases zinaingia kwa fujo hapa, referral zinatoka pia, usiku ni mrefu sana
poleDuh mkuu umenikumbusha kuna kipindi niliwahi fanya kazi hospitali,nilikua Nachukia night shifts
Asantepole
Acha uzuzu weweNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
karibuAsante
Good prediction morogoro hiyoHii mvua kesho lazima usikie mafuriko sehemu
Nawe pia asbuh uwe na njemaAmken kumekucha! Muwe na asubuhi njema na siku njema pia![]()
JKT hahah! (Jokes)Mlale
kamvua safii kabisa nimeshinda nimelalaPoa poa best, shughulikia ndoa ipasavyo. Sleeptight!!!