JamiiForums Usiku wa manane

Hili ndilo tatizo lako kuu.
Huwa wewe ndio msababishi wa ngedere kusogelea shamba lako...jitahidi wasiingia wahi😍🀣
Babeee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 babe wangu ni daladala ukichelewa mtu kaingia dirishani πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Babeee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 babe wangu ni daladala ukichelewa mtu kaingia dirishani πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
No hawajawahi kuingia huishia kuchungulia sweetheart
 
Ningekuwa hivyo hapo mwisho nahisi ungesikia sana tu.
1. Napenda utani sana...yes
2. Nina upendo ...yes
Ungekuwepo kwenye circle wewe pekee naam nathubutu kusema...yes🀣🀣🀣
Uniulize why you?
Why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…