JamiiForums Usiku wa manane

Amkeniiiiiii, mwenzenu nimeweza kubadili rangi ya maandishi yangu [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38]Nifundishe tasavali
Usijali,

Color=Red unaandika ndani ya mabano hayo [ ] kisha unaandika neno utakalo ila huachi nafasi kati ya mabano na neno,

Mf: (color=blue)Tanzania Nakupenda

Lakini mabano yanakua [ ] sio kama hayo ya kwenye mfano

Karibuuuuuu
 
Ahsante
 
tz inapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…