Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Najitahidi, ila sometimes hali ya hewa inatuminya. Muda mwingine jua haliwaki, au linakuwa tulivu basi hamu ya maji unakosa
Nakomaa kutafuta chapaa. Nyumbani kumekuwa kama keep left naishia kuzunguka tu bila kuingia ndani [emoji2957][emoji2957]Oh hadi kulala ni anasa jamani [emoji3]
Tutafute pesa ndg hawa wote tutawamiliki
Kweli lakini cha kwanza kabisa ni chapaa. Time itapatikana tu ila chapaa ndio kikwazo. Ukiwa na time huna chapaa dharau zitazidiUkiachana na pesa pia wanahitaji care na time yako!
Na kwako pia, tukutane tena mida yetu ya wangaTuwe na siku njema na weekend iliyo bora kabisa kwa wote!
Poa..za weweMambo
Fresh kabisa, kumekucha now mishe zinatuhitaji.Poa..za wewe
Likewise.Tuwe na siku njema na weekend iliyo bora kabisa kwa wote!
Yes budda..tukutane tena baadaeFresh kabisa, kumekucha now mishe zinatuhitaji.
Likewise.
Wakulijenga taifa tukajenge..
Wakulipa kodi nao kila la kheri..
Naombea draw game la Mancity na Man utd. Au man Utd apigwe.
Chelsea ampige Everton[emoji482]
Man city thumbs upMan City Win
Everton Win
Tukutane mida ya popo na bundi tena!
Kama kawaidaYes budda..tukutane tena baadae
🙄 Wamekuhack???Ungenitumia hata dada yako usiku wa jana nimle nizimalize genye ningekuona una akili na wa maana, kuliko kumtamanisha mwanaume mwenzako kifala kindezi.
Uthibitisho kutoka kwa balozi wa nyumba 10 tafadhaliMe mgeni kwenye huu Uzi wenu