Nilitumia posta aisee vikaibiwa vichache na vingine vikafika, bado mzigo haukuja kwa wakati, watumieMK Logistic wapo vizuri sana, nilishawatumia pia kunitumia simu hii nayotumia sahivi Huawei, unataka kuagiziwa mzigo ganiHivi ulishawahi kuagiza kitu mtandaoni na ukapata kwa wakati bidhaa yako? Bongo hii huduma hawaiwezi kabisa ni [emoji706][emoji706][emoji706]
Chuma Fimbo za baadae....[emoji51][emoji51][emoji51]Nilitumia posta aisee vikaibiwa vichache na vingine vikafika, bado mzigo haukuja kwa wakati, watumieMK Logistic wapo vizuri sana, nilishawatumia pia kunitumia simu hii nayotumia sahivi Huawei, unataka kuagiziwa mzigo gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo za wewe?Upo mrembo
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unamchapaje pacha wako eti, nimekumiss [emoji12][emoji12]Chuma Fimbo za baadae....[emoji51][emoji51][emoji51]
huu mwandiko wa nani? em mpe mwenyewe simu yakeYupo za wewe?
Microphone test mkuu"Yo yo yo
Khoh khoh khoh...
Yo yo yoooo[emoji441]
1. 2Microphone test mkuu"
na je vipi kwa mizigo mikubwa kama kitanda godoro, fredge nk kampuni gani iko vizuri kwa kuagiza kuja mikoani mfano BukobaNilitumia posta aisee vikaibiwa vichache na vingine vikafika, bado mzigo haukuja kwa wakati, watumieMK Logistic wapo vizuri sana, nilishawatumia pia kunitumia simu hii nayotumia sahivi Huawei, unataka kuagiziwa mzigo gani
Sent using Jamii Forums mobile app