JamiiForums Usiku wa manane

Ndo inategemea umefunzwa? Bila kufunzwa huwezi kuwa na akili hiyo mkuu. It needs a person with fighting skill to do that
Mzee baba achana na wezi fuatilia debate ya beberu Trump vs Biden,hahah nakuzingua mzee baba.
 
Lenie huku unapajua?


Mendy kashindwa hata kuchomoa kimoja jamani πŸ˜€πŸ˜€ zote karuhusu atupiwe ndani 😁
Blues Fans tunaambia nini watu Carleen Hazard CFC
Yaani kuwa shabiki wa the bluez ni maumivu per day, nipo kwa daladala natazama highlights za Jana, nimekaa na mbaba kaanza kuiponda Chelsea kumbe hajui me ndiyo muhusika eti imagine.!
 
Yaani kuwa shabiki wa the bluez ni maumivu per day, nipo kwa daladala natazama highlights za Jana, nimekaa na mbaba kaanza kuiponda Chelsea kumbe hajui me ndiyo muhusika eti imagine.!
I can imagine vile unakereka na kutamani umfinye hata sikio πŸ˜€πŸ˜€

Unashabikia team moja tu? Tafuta yenye uafadhali iwe team B ila tu chonde chonde isiwe Asernane. Karibu kwa Baby Mo Salah na Manee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…