JamiiForums Usiku wa manane

Nimetoka kuwatimua vibaka wali infiltrate kwenye mabanda ya mifugo huko nje nyumba.Hakika asbh ya ningelia kama mbwa maana hasara ambayo wangenisababishia sipati picha.

Almost toka saa 1:50.

NB
Sikujua kama na mm siku moja nita comment huu uzi.
 
Poole sana! Na hongera kwa ujasir wa kupambana nao...leo naona walinzi wapo likizo humu
 
Nimetoka kuwatimua vibaka wali infiltrate kwenye mabanda ya mifugo huko nje nyumba.Hakika asbh ya ningelia kama mbwa maana hasara ambayo wangenisababishia sipati picha.

Almost toka saa 1:50.

NB
Sikujua kama na mm siku moja nita comment huu uzi.
Shukrani kwakwel.Hapa navuta vuta time madogo wkiamka kujiandaa for school mm ndio nilale sasa maana nahis kama watarudi[emoji848][emoji848]
Asee hongera sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…