Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Jibu ni simple mbona nikiwa napesa nawaajili wote naowahitaji na kila mtu kutokana na professional yake kama SSB anavyofanya [emoji38]Hoja zako ni zipi,
Nakupa mfano sasa kutokana na hoja zangu, bila elimu utajuaje kusoma, pia kujua hii ni pesa kiasi gani, bila elimu utaandaeje bajeti ya pesa unayoaanda kwenye kampuni /mradi/kiwanda,
Bila elimu utajuaje kuaanda document hujui kusoma, kama huna elimu utawezeje kuaanda mahesabu ya mwisho mwa mwaka,
Elimu inatumika kwa kiasi kikubwa,
Yes inaweza kuwa, pia kufanya pasipo kuwa na uhakika na tarehe za kwenye mzunguko yote yanatokea, vipi umempa mtu mimba ninj bossTafasiri yangu ni ile mimba ya bahati mbaya ni mtu kubakwa au mpira kupasuka wakati wa match hakuna bahati mbaya nyingine kuzidi hizo mbili.
Mungu mwenyewe kaweka confidential anajua anapotupeleka.Tunaenda wapi
Utawaajili wote lakini usipojua kusoma utajua kampuni yako imeingiza kiasi gani kama sio kudanganywa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jibu ni simple mbona nikiwa napesa nawaajili wote naowahitaji na kila mtu kutokana na professional yake kama SSB anavyofanya [emoji38]
Hapana [emoji4] sijawahi mpa mtu mimba maisha yangu yote nasiku ikitokea hakuna kutoa hiko kiumbe acha nibebe majukumu nitamwambia huyo aliebeba.Yes inaweza kuwa, pia kufanya pasipo kuwa na uhakika na tarehe za kwenye mzunguko yote yanatokea, vipi umempa mtu mimba ninj boss
Wewe unaishije hapa duniani Super Villain, je matendo yako na maisha yako ni ya kumpendeza Mungu?Mungu mwenyewe kaweka confidential anajua anapotupeleka.
Money ndio inafanya watu wafanye mambo yote ujue? Watu kufanya uwalifu, kusoma, kuhangaika nk... Kungekuwa hakuna pesa basi watu wasingeangaika sana wangelima na kula.Utawaajili wote lakini usipojua kusoma utajua kampuni yako imeingiza kiasi gani kama sio kudanganywa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So what is behind of all this mimba ya bahati mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana [emoji4] sijawahi mpa mtu mimba maisha yangu yote nasiku ikitokea hakuna kutoa hiko kiumbe acha nibebe majukumu nitamwambia huyo aliebeba.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kabla ya pesa hivi unajua kuliko na bata tredi... Goods goes for goodsMoney ndio inafanya watu wafanye mambo yote ujue? Watu kufanya uwalifu, kusoma, kuhangaika nk... Kungekuwa hakuna pesa basi watu wasingeangaika sana wangelima na kula.
Am not perfect at all, hata Yesu pia alishawahi kusema hakuna aliyemwema kumzidi Muumba? kwahiyo huwa tunafanya makosa sana na ndio maana tunatubu pia.Wewe unaishije hapa duniani Super Villain, je matendo yako na maisha yako ni ya kumpendeza Mungu?
Wewe unafanyajeee mzee babaKuna watu wako wanakwichi saa hiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulikuwa tukibishana sana leo na wahuni wangu ndio maana bado nikawa nafikiria kama kuna mimba ya bahati mbaya [emoji38][emoji38]So what is behind of all this mimba ya bahati mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fanya mema mzee baba, kuwa mtu mzuri inatoshaAm not perfect at all, hata Yesu pia alishawahi kusema hakuna aliyemwema kumzidi Muumba? kwahiyo huwa tunafanya makosa sana na ndio maana tunatubu pia.
Nipo tu bed napanga ya kesho !!! My love tunaishi mbali mbali [emoji1787]Wewe unafanyajeee mzee baba
Aah! Kweli sikatai hilo na ndio imeleta pesa hii sasa kama badala ilikuleta usawa.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kabla ya pesa hivi unajua kuliko na bata tredi... Goods goes for goods
Najua hilo maana matendo pia ni Ibada sijui unajua hilo?Fanya mema mzee baba, kuwa mtu mzuri inatosha
Mpigishe nyeto mchumba wako, mnaishi mbali utaibiwaNipo tu bed napanga ya kesho !!! My love tunaishi mbali mbali [emoji1787]
Dini imenikaa sana natambua hiloNajua hilo maana matendo pia ni Ibada sijui unajua hilo?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Aah! Kweli sikatai hilo na ndio imeleta pesa hii sasa kama badala ilikuleta usawa.
Kama humuamini unaibiwa tu sijawahi kuelewaga kuwa mpenzi huwa yanataka nn maana nishajaribu vyote.Mpigishe nyeto mchumba wako, mnaishi mbali utaibiwa