Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,942
- 236,645
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850] nimeachaKuwa na hila ni kuwa na moyo unaofanya vitu viwili ambavyo vinapingana kwa wakati mmoja. Ni kama vile kumjibu mtu kwenye simu "nakula muda huu" kumbe unakata mitaa na mafyati kuelekea Sangu sec kwa mguu.
Nadhani umeelewa
Kamba gani?We utakua unanipinga kamba
Sipajui ungekula shavu ,si mnajitenga sanaPitia kwanza hapa kwangu kabla hujaondoka
Naenda zangu kulala brother.Haya ngoja nikuache na mtu chake na stories zenu.
Hee[emoji134]Sipajui ungekula shavu ,si mnajitenga sana
Hahahaha,nishaingia customKamba gani?
Njoo hapa Mlowo tupate moja baridi moja Moto.
Vwawa mlowo dk10 tu!
Duh[emoji134]Hahahaha,nishaingia custom
Kusikia unaachwa na mm tupige story na wewe unaondoka,halafu ndio unataka tupige bia hivi ?Naenda zangu kulala brother.
Nimefurahi kwa stories zenu angalau najisujia relief fulani[emoji4]
Ni kweli Mkuu, tatizo hamtoi codes za uhakika , hapa yenyewe unataka u niache aloneDuh[emoji134]
Wewe hukupanga kuja kunisalimia
HahahahaHee[emoji134]
Sema Haki ya nani!??
Nipe Hilo shavu nile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli Mkuu, tatizo hamtoi codes za uhakika , hapa yenyewe unataka u niache alone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kusikia unaachwa na mm tupige story na wewe unaondoka,halafu ndio unataka tupige bia hivi ?
Haya ngoja nilewe na watu wa border hapa ,nigonge nisepe
Nasubiri hilo shavuHahahaha
Unanicheka ,dah poa gud day ,asubuhi njema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, basi tena ,limeishaNasubiri hilo shavu
Mi nimekupa code umekataaUnanicheka ,dah poa gud day ,asubuhi njema
Kwahiyo ulikuwa unanitamanisha tu[emoji134]?Hahahaha, basi tena ,limeisha
Hahahaha ,hy location kuna mdau dizaini anajua kaikataa ,but mpk next time ikitokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo ushasema unaondoka.
Nimekupa location umeikataa
Haya bana,nimeshindwa mm ,next time itakua poaMi nimekupa code umekataa
Sasa nifanyeje zaidi ya kucheka