Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Nilijua lazima ungekuja hapa tu [emoji23][emoji23][emoji23] lakini juwa Mungu ndio kila kitu alafu technology ndio inafuata Quantum physics ni theory tunachezeana akili hapa.Futa hii kauli yako.
nikuulize swali dogo, kwanini Asgardian walienda kuishi Norway ?
Sawa Boss kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho huchinji ng'ombe kweli?[emoji23][emoji23] tulia brother kila mtu apambane na hali yake.
Saiz ipo 12 au 13?Sasa ndio ufute kauli kua unapenda vilain. Nampenda Grandmaster na Joker tu
Game of thrones
Na ndio tatizo hili, atajiona na yy HulkUnaona sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu ataanza kuigiza na michezo ya kwenye movies itakuwa ni hatari sana.
Tutakula misosi yetu ile mihogo mayai na nyama choma [emoji23][emoji23]Kwani dini yangu huijui, hapa nimesubiri mualiko wa Goddess naona bila bila
Mafala tupo mbnMskini na fala ni mimi tu jf hii[emoji23][emoji23]
Hahahaha, mie mwanzo nilisumbuka sana, nilipokuja kujua kumbe ,ni maisha ya kwenye keyboard[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha watu wahumu mzee wangu ukisoma comments zao kila mtu ni tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OK sijui kwanini walikimbilia huko, nipe maelekezo sasa kwani walienda huko?Bado hujajibu swali bro.. mimi nataka nikuonyeshe kua sio michezo ya kufikirika. Ndio maana nimeanza na swali ndogo. Kwanini asgardian walikimbilia Kuishi Norway sio nchi nyingine kama Marekani ambapo thor anapendwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo utanisamehe lakini mwenye macho aambiwi tazama.Tupe link tukaone asee
Ushauri wangu huskizi tajiri.. subiri kuona side effectsTutakula misosi yetu ile mihogo mayai na nyama choma [emoji23][emoji23]
Mm ndio rais wa mafala basi na maskini
Maisha ya watt ndio wanaishi hivyo tulio komaa akili hatuwezi kuishi maisha yetu kwa kuwaimpress wakina fulani mm huwa natabasamu sana nikona haya mavitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, mie mwanzo nilisumbuka sana, nilipokuja kujua kumbe ,ni maisha ya kwenye keyboard
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa Boss nakusikiliza.Ushauri wangu huskizi tajiri.. subiri kuona side effects
Ngoja ni screenshots nitasoma kesho nitakuleta majibu hapa hapa.Soma historia ya medieval era.. kisha nitaendelea. Nikujuze kwanini walienda huko
Hujawahi niskiiza kijana ila sio mbaya. Af leo hii mida nimefika kimasikhara, ngoja nipumzishe hii kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa Boss nakusikiliza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo tuanze kutoa ajila na hizi course?Utajiri pekee nilionao namiliki simi na nywele tu kichwani. Kufake ni taaluma au kipaji asee
Umepotea room leo nakusikiliza sema nn ila Kingereza chako nataka nikuone kwenye majukwa ya kina nanii [emoji23][emoji23][emoji23]Hujawahi niskiiza kijana ila sio mbaya. Af leo hii mida nimefika kimasikhara, ngoja nipumzishe hii kichwa
Ile kitu nilitoa kwenye kadi hivyo isikubabaishe ni copy and pasteUmepotea room leo nakusikiliza sema nn ila Kingereza chako nataka nikuone kwenye majukwa ya kina nanii [emoji23][emoji23][emoji23]