JamiiForums Usiku wa manane

Maisha ya humu JF [emoji23][emoji23] ni miyeyusho sana unaweza pata mfadhaiko wa moyo [emoji91][emoji91] acha nilale nimefurahi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila siku watu wakiacha utoto humu nazani na umasikini utaisha kabisa.
 
Mskini na fala ni mimi tu jf hii[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasije wakakupa stress hawa watu alafu picha nyingi za humu ni za kudownload usipagawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaniuwa jamani mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…