Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,683
- 208,884
Me napita tu...Hapa salama kabisa Rafiki, naona umekuja kufunga lindo
Watafunga wachelewaji wengine
Me napita tu...Hapa salama kabisa Rafiki, naona umekuja kufunga lindo
SawaMe napita tu...
Watafunga wachelewaji wengine
Hahaaaaa! Inabidi watekaji wajitokezeHuu ndio muda sasa wa kuteka paka moja ,na kwenda nalo chimbo
Kwema, habari ya asubuhiSalama.
Za hapa?
Kila hatua dua0601 Safari ni hatua
Tunaanza na Konde Boy-Fall in loveView attachment 1503207
Tuone wangapi wataielewa hiyo playlist [emoji445]
Jamaa amepatia sana kwenye huo wimboTunaanza na Konde Boy-Fall in love
Rayvanny - Te amoTunaanza na Konde Boy-Fall in love
Ishaisha hiyo mzee. Unakimbia sana mzee
Ishaisha hiyo mzee. Unakimbia sana mzee
Labda umri, pia usikomae sana unaweza zalisha tatizo jingine. Huyo anataka umfikishe mbinguni?Nimeambiwa kiwango kinashuka Mzee, sio kama napenda asee!
Super Villain Dogo unahitajika huku