Kumbe haya mambo yana wenye! Haya kapambane na ukungu nje huo mm acha nivute shuka.
Unatafuta Sixpack [emoji38] hongera zako maana mm hata nikiwa nazo kuziona ni mtihani maana michezo ya kuvua shart au kuvaa nguo itakayo onyesha tumbo kwangu ni noma kweli.Umejuaje, utakuwa jirani wewe... kuna manyunyu naona uvivu hapa.
Najishauri na kujiuliza kwanza natafuta sixpack ili nini.?
Unatafuta Sixpack [emoji38] hongera zako maana mm hata nikiwa nazo kuziona ni mtihani maana michezo ya kuvua shart au kuvaa nguo itakayo onyesha tumbo kwangu ni noma kweli.
Hizi pigo sina kabisa sixpack zitaonekana chumbani huko [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Juhudi zako siku 2 hizi nazionamm hapa ndio siwezi tena kulala.
Week hii shift yangu imebadiliswa.Juhudi zako siku 2 hizi naziona
Kwa hiyo clinic unaingia mchana sio?Week hii shift yangu imebadiliswa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani kakuambia.Kwa hiyo clinic unaingia mchana sio?
Kila kitu ni ww unavyota kukiweka kiwe ndivyo kinakuwa hakuna kinachoshindikana kabisa.Huwa najiuliza wadau mnawezaje kulinda bila kuwepo walinzi wa kike ? Hakika mimi siwezi, lindo bila watoto wa kike ni sawa mmasai bila fimbo.
Hakika siwezi kabisa.
Tulia ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani kakuambia.
Pole broNimefunga lindo asubuhi na nimefungua lindo hahahaha