JamiiForums Usiku wa manane

Haruki mzee... Af mziki unakufanya usijiskie lonely. Ukiwa na mziki inakua ni kama unaishi na masela gheto
Kabisa mzee. Umenikumbusha nillikuwa na CD yangu ilikuwa ina mixer za hatari by then. Nikiwa ghetto utajua tu na kile kiredio changu ambacho nilinunua kwa pesa ya kwendea filed. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…