is amu a madam??
tuache utani mkuu hiyo dp ina reflect shape na chura hahaaaa. kuhusu brains u should man-up ans try her ndo utajua.
What are you try to insinuating? Kuna kitu kuhusu mimi hakipo sawa kwakok ddnt think man... ilibidi niangalie avatar ndo nkagundua ila in the longrun nlijua ni mchizi tu.
I wish nkujue zaidi ya JF. You seems mature and competent.Wote ninaowajua wavuta bangi ni watu ambao hawana makuu na wanajitambua mno yaani mno.
Bangi inasingiziwa mengi mno.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Achana na sifa za kaka wewe.[emoji23][emoji23][emoji23] pole brah. She is cute as hell. Additionally, she has that exceptional brain.
No need microscope to identify viruses[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Achana na sifa za kaka wewe.
Kakujaza na wewe ukajaaa
Jf ya sasa hivi haiko salama.I wish nkujue zaidi ya JF. You seems mature and competent.
That's true na siwezi kuku convice that I'm harmless [emoji23][emoji23][emoji23]Jf ya sasa hivi haiko salama.
Tunaogopana mno.
Yaani mnoooo.
Pamoja na kuwa siasani hatufiki lakini pia si salama.
Hata huko pm penyewe si salama.
Acha uoga mtoto wa kike ww..Jf ya sasa hivi haiko salama.
Tunaogopana mno.
Yaani mnoooo.
Pamoja na kuwa siasani hatufiki lakini pia si salama.
Hata huko pm penyewe si salama.
Hahahaha, kumbeJf ya sasa hivi haiko salama.
Tunaogopana mno.
Yaani mnoooo.
Pamoja na kuwa siasani hatufiki lakini pia si salama.
Hata huko pm penyewe si salama.
Karibu upate tiba ya moja kwa moja.Napenda sana ugali dagaa
Tatizo nina ulcers