Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
ile Id yako maarufu ipo wapi?Kuna ile Movie ya NSYUKA ukiiangalia mida kama hii inabamba haswa, icheki mchana wala haitishi. Madirector na producers wetu wanakwama wapi?
Hollywood movie kama ni ya kutisha ni inatisha muda wote, icheki mchana, icheki usiku utaanya tu.
Wazungu wameendelea mno..Kuna ile Movie ya NSYUKA ukiiangalia mida kama hii inabamba haswa, icheki mchana wala haitishi. Madirector na producers wetu wanakwama wapi?
Hollywood movie kama ni ya kutisha ni inatisha muda wote, icheki mchana, icheki usiku utaanya tu.
Hivi huyu Tekashi anaimba nini cha maana?!Tekashi x onika maraj - Trollz[emoji445]
Anaonekana anampenda tuHivi huyu Tekashi anaimba nini cha maana?!
Naona Nicki anamkubali kweli yani..
11:06
Mmewahi sana wapwa1103
Saa tano,Jana ulikuwa wapiMmewahi sana wapwa
Mi maandalizi tu mpwaMmewahi sana wapwa
Nilikua nyumbani[emoji38]Saa tano,Jana ulikuwa wapi
Haya usiwahi kulala tuMi maandalizi tu mpwa
Sikukukuta home ,hukurudi🥳Nilikua nyumbani[emoji38]
Ntaomba uniamshe nikisinziaHaya usiwahi kulala tu
Yani nisirudi halafu ulale usingizi mnono kasema nani?!Sikukukuta home ,hukurudi[emoji3060]