Kwanza tambua kwamba mimi ni mkongwe, sijasoma hizi shule za mum and dad I'm going. Safari yenyewe tulitumia lori la shule STG. Hiyo namba ushawahi kuiona toka umezaliwa bwana mdogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo nasikiliza love is wicked - brick and lace
Usingizi hauji. Wacha tusikilize mziki tuamkie kazini kesho[emoji8][emoji8][emoji108]enjoy mkuu
Huyu dogo analeta dharau. Anafikiri maisha ya enzi za mkoloni ni sawa na sasa hivi. By then shule tulikuwa tunakwenda tayari tushapevuka. Ilikuwa form 1 unafika shule form 5 unajua ni teacher. Hadi uzoee mazingira ndio utajua ukweli.[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2088][emoji2088][emoji2088]dah nimecheka 9ht yote hii
STG.Kwanza tambua kwamba mimi ni mkongwe, sijasoma hizi shule za mum and dad I'm going. Safari yenyewe tulitumia lori la shule STG. Hiyo namba ushawahi kuiona toka umezaliwa bwana mdogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae mwezi ujao twende. Tunachukua zetu Sauli hapo tunanyoosha. Halafu uzingue nakukata vitasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefukua viporo vyote vimentolea nje walahi[emoji28][emoji28]Baridi ya Dar unafananisha na mbeya? Kwanza unakujua mbeya au unabisha tu. Sio Matombo kule. Aladeen04 tafuta goma lako mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mjomba huko baridi kiasi chake huku inapiga ile yenyeeewe yani inakufubaza unaona live liveDar mbona saiz kuna baridi kiasi chake.
Karibu mwenye lindo lake
Wacha jioni nikajichagulie langu kwa mwailubi chap[emoji40]Mzee mablanketi chapa mtu si yapo ya kumwaga pande hizo. Sanuka na la kwako upate joto lenye utamu ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wazima, hofu kwako mkuu
Nakuachia lindo mkuu