Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
π π π π πUjue we jamaa duh! Upo vizuri kwenye comedy.
Hayo makaburi hakuna atahaingaka nayo na pia tutaheshimu mamlaka ππ
Hivi hizo pikipiki hata wanaume huwa wanaendesha? Maana picha nyingi huwa naona ni wadada tu warembo warembo.
Hivi hizo pikipiki hata wanaume huwa wanaendesha? Maana picha nyingi huwa naona ni wadada tu warembo warembo.
Halafu watu walivyowabaya. Ukipata tu umaarufu wana wewe πππ π π π π
Itakuwa vema kama itakuwa hivyo, maana kuna makaburi yanaumav sana yakifukuliwa. Unawaza hiyo siku uliyoposti hizo makitu bora hata ungekuwa unalike tu comment za watu kama mkwepu jr.
Naona unataka kuniuzia kesi. Hiyo inakuhusu mzee πππUnalakusema mzee wangu embu tia neno hapo kwanza [emoji4]
Wakati muafaka kabisa. Upo ontime kijanaNina Lisa hapa unasemaje ni mapema saiz.
Wanaendesha pesa yako tu 'Hivi hizo pikipiki hata wanaume huwa wanaendesha? Maana picha nyingi huwa naona ni wadada tu warembo warembo.
π π π πHalafu watu walivyowabaya. Ukipata tu umaarufu wana wewe ππ
Tunaweza ita ni utakatishaji wa pikipiki au sio.Mwanamme bila mshkaki ni ubatili mtupu.
Huku kwetubni mwendo wa fekon na sunlg tu...Wanaendesha pesa yako tu '
Kwa wadada naona mmoja wa wadada famous wanaomiliki na kufanya stunts ni mrusi
Indians wengi pia wanamiliki sports bikes
Sio kweli kabisa [emoji4]Naona unanitafutia kesi.
Naona unataka kuniuzia kesi. Hiyo inakuhusu mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
Nmeshaona kawasaki' suzuki nyekundu na zingine sijapata kuzisoma majina chache mno hata znz wanajitahidi kwa wingi naona kwanza yanamakeleeeeleHuku kwetubni mwendo wa fekon na sunlg tu...
Mzuka tu niaje.Habari ya hapa manightmares wenzangu
Ulienda kunyaSio kweli kabisa [emoji4]
Amna kuna kitu nilikuwa nafanya huwa nikienda kunya naenda hadi na simu mbona ungeniona tu..Ulienda kunya
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Amna kuna kitu nilikuwa nafanya huwa nikienda kunya naenda hadi na simu mbona ungeniona tu..
Mimi pikipiki huwa sina mzuka nazo kabisa, nilinusurika mara mbili, kuanzia hapo huwa natumia kwa machale sana.Nmeshaona kawasaki' suzuki nyekundu na zingine sijapata kuzisoma majina chache mno hata znz wanajitahidi kwa wingi naona kwanza yanamakeleeeele
Not meNani alishawahi cheza hii kitu hapa? View attachment 1469832