Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ngoja nilale mzee wangu.Hivi unafikiri unakataaje? Hiyo inapangwa wiki nzima. Na sometimes mnaregister kabisa kama utashiriki. Na hujawahi kufika huko lazima ugangamale. Ila milima yao sio ya kitoto mzee.
Hiyo ni principle yangu nilijiwekea mzee 😂😂. By then hata darasa la kwanza sijaanza. Kwanza mshua ajue umeenda mbali mzee bora usirudi home.Ulikuwa muoga sana ww. 😆 😆 😆 😆
Pamoja sanaNgoja nilale mzee wangu.
Mbona huzuni[emoji50][emoji25][emoji25]
Nilikuwa pale kileleni 2018, picha naruhusiwa kuweka?Goddess na Super Villain mnapenda hiking? Kule juu ni noma. Hata huu mlima wa kwa mkuu wa mkoa. Ukiwa juu kuna hali ya hewa muruwa kabisa.
Tupia mzee. Be free.Nilikuwa pale kileleni 2018, picha naruhusiwa kuweka?
Mkuu mkipanga kwenda naomba nishtue tafadhali.Goddess na Super Villain mnapenda hiking? Kule juu ni noma. Hata huu mlima wa kwa mkuu wa mkoa. Ukiwa juu kuna hali ya hewa muruwa kabisa.
Uko wapi mzee.Mkuu mkipanga kwenda naomba nishtue tafadhali.
Msamvu.Uko wapi mzee.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]soonTupia mzee. Be free.
Safi sana. Tukitoka huko milimani tunakuja hapo Terminal Pub kupoza koo na maumivu ya uchovu.Msamvu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Safi sana. Tukitoka huko milimani tunakuja hapo Terminal Pub kupoza koo na maumivu ya uchovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa MkomolaMsamvu.
Wasalimu mkuu, tupeane fursa za huko.Mapinga Bagamoyo........
Mda huu unafanya nini?Mapinga Bagamoyo........
Nilienda kwa Mganga ndo narudi now niende kwa Babu yakoMda huu unafanya nini?