Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
Twende kwa Yesu [emoji443]
Nimepitaa1:00
Wangu wa moyoni akipita mnistue.,[emoji41]
Unasikiliza hizi nyimbo au una share tusikilize?Unanifikiri_Atosha Kisava
Ni nyimbo ninazozisikiliza mara nyingi.Unasikiliza hizi nyimbo au una share tusikilize?
Na wewe kapumzike nimekuja kukupokeaNina haja nawe (Tenzi za Rohoni)
Tupo, upo?Mpo?
Mimi pia nna haja naweNina haja nawe (Tenzi za Rohoni)
Nipo, mbona uko peke yako? Halafu unasema "tupo"Tupo, upo?
Nimewawakilisha walinzi wengine naona wametawanyika, wakisogea pande hii utaona wana commentNipo, mbona uko peke yako? Halafu unasema "tupo"