Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,387
- 95,838
"Mwanamke kuwa mwanaume wa mwanamke asiye na mume ni mwanaume tena wakiume kuwa mwanamke wa mwanaume" [emoji445][emoji445] ukielewa utanifananulia [emoji23][emoji23][emoji23] Goddess[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baridi inakung'uta kisawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saint Anne naimani baridi la mji mkuu lishaanza kukupiga kisawasawa muda huu[emoji38]
Nakuachia lindo shweety
Wewe nenda kule huku kwa walinzi kuna baridiBaridi inakung'uta kisawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafunga geti.
[emoji120]Ulale salama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule yuko BAK anakulinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kule Hakuna baridi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]