zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,216
- 1,918
MkuuHv hiyo Al kasus mnaipendea nn?
Nilikuwa sijawai kukitumia hiki kinywaji
Nimefanya kufosiwa tu na rafiki nikutumie
Nimechelewa kulala kama hivi nishaamka
MkuuHv hiyo Al kasus mnaipendea nn?
HahahahaMkuu
Nilikuwa sijawai kukutumia hiki kinywaji
Nimefanya kufosiwa tu na rafiki nikutumie
Nimechelewa kulala kama hivi nishaamka
UmefeliNa fanya attendance mapema alafu nalala mapema hata kabla ya walinzi hawajafika [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehe ngoja nifanye majaribio ipo siku nitafauluUmefeli
She look so surprise anakuta picha yake ukutani,12:11
Niaje fam?
Champ vp?Now Playing: [emoji442]
1. D.O.A (Death of Auto-tune)
2. Pound Cake
3. Moment of Clarity
4. Heaven
5. Public Service Announcement
Jay-Z
Naona Jigga kakamata Playlist yote.It’s cool, I got my mojo back dude!