Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Ujalala tu!0222
Ujalala tu!0222
Unafunga mzee?Usiku wa manane nmeshtuka baada ya kelele Nyingi za kuku huko bandani
Hv hiyo Al kasus mnaipendea nn?Alikasusu ya leo balaa
Hata dalili za usingizi hakuna
Mungu wangu!!
DakuUjalala tu!
Huu mshangazi ungekua duniani ningemtolea chambo mwanangu[emoji38]
Kwani lazima ule kila siku usiku?Daku
Teh teh tehHuu mshangazi ungekua duniani ningemtolea chambo mwanangu[emoji38]
Lazima kama ww unavyopata kwenda toi kila sikuKwani lazima ule kila siku usiku?
Kwani ukila saa 4 kuna tatizo gani mbona kuna mzee anakula saa 4 daku yake nyie mnakwama wapi?Lazima kama ww unavyopata kwenda toi kila simu
Yani nifturu saa12 halagu nile saa4 hilo tumbo au pakachaKwani ukila saa 4 kuna tatizo gani mbona kuna mzee anakula saa 4 daku yake nyie mnakwama wapi?
Nafuga aisee kuna njiwa alikua juu ya bati kuku wakawa wanapiga kelele sana sijui ana kitu gani Huyu njwa usiku wote huuUnafunga mzee?
Nmewahia zisikiliza za ''Sino Drama" ile channel inaweka theme kali hatar za asiaHivi ni mm tu huwa na penda hizi theme song za hizi series za kikorea na kichina [emoji17]
Kujiendekeza tu huko huna loloteYani nifturu saa12 halagu nile saa4 hilo tumbo au pakacha
Ndio
Duh! [emoji1430][emoji1430]Lazima kama ww unavyopata kwenda toi kila simu
Ni wewe mwenye I.d..?
Nilitaka kusema utoke uangalie usikute wahuni au paka wako mawindoni wanaleta usumbufu maana kuku ni muoga hatari.Nafuga aisee kuna njiwa alikua juu ya bati kuku wakawa wanapiga kelele sana sijui ana kitu gani Huyu njwa usiku wote huu