Mohamed_jumanne
JF-Expert Member
- Feb 16, 2020
- 331
- 938
Alaa umeshapata somo siku ile au leo njugumawe mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema ukweli tu.Hapana aisee! Nimejifunza
Ushaniweka isolation ya piliSio kweli mbio bado hazijaisha lakini.
Umekata tamaa mapema ww
Corona ndio imeisha sasa Jumapili tuna sherehekea send off [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lmao
Unatoroka lindoMuwe na usiku mwema walinzi wote acha nilale sasa
Khalid ft Tydolla sign & 6lack - OTW [emoji442]
Leo Nimenunua dagaa,fungu langu la buku mapemaa! Hapa nasongewa ugali...Hakuna figisu tena. Maana siku wali maharage walikula watoto asbh. Mi niliishia kupiga mihayo Tu.Alaa umeshapata somo siku ile au leo njugumawe mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema ukweli tu.
Mashup ndo hua balaa ssHizo zumari na ngoma kwa mbali alafu unasikia zeze inapigwa kwa hisia kali na utaalamu wa kibabe ndio huwa naenjoy sana.
Hio utakua ni utumiaji mbaya outingHatari sana inabd ushibe kwanza hom kabla hujatoka