Mohamed_jumanne
JF-Expert Member
- Feb 16, 2020
- 331
- 938
Aaah [emoji15] mm nimefanyaje tena hapo sasa?
Gud, niaje babu?
Hii kesi huikwepi mzeeAaah [emoji15] mm nimefanyaje tena hapo sasa?
Mzuka mwanangu vipi weweVp babu?
Kesi ipi tena hiyo mzee wangu embu nyosha maelezo.
Ile ile naona usingizi umegoma?Mzuka mwanangu vipi wewe
Kwa hiyo hujui ulichofanya sio?Kesi ipi tena hiyo mzee wangu embu nyosha maelezo.
Yap jana nimelala sana mchana naskilizia hapa naulia timing ukija tu napita naoIle ile naona usingizi umegoma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We mzee ngoja mwezi uishe kwanza nimefunga mwenzio ujue.
Angalia usifike majogoo sasa.Yap jana nimelala sana mchana naskilizia hapa naulia timing ukija tu napita nao
[emoji3][emoji3][emoji3] huu mwezi hauna uhusiano kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We mzee ngoja mwezi uishe kwanza nimefunga mwenzio ujue.
Nimempa kazi naona ndio kakimbia kabisa
Boss kubwa tena leo tena ni maharage au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah! Mie sijambo sijui nyie huko hamjambo,haya poa tutawasiliana basi.
Astagafulahh astagafulahh nimefunga mm acha nikamilishe 30 zangu salama mm [emoji4]
Wacha hizo. We umeharibu kila kitu mzeeAstagafulahh astagafulahh nimefunga mm acha nikamilishe 30 zangu salama mm [emoji4]
Sio kweli mbio bado hazijaisha lakini.