Ila hizi gari kuzimiliki afrika mashariki hatuzitendei haki maana hakuna barabara za kuzifanya zitambe to their top speed.Amna Mkuu Mbona used yapo(mtumba)
Unamjua hushpuppi [emoji2]?
Alaf Mbona hata huk Tz zipo Lamborghini,
Lamborghini Gallado nahisi, Kama 2/3 Hivi
Moja plate number inaishia CCC ingine imeandikwa sijui DELICA/NA
Au Nikuletee na pich [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa wanafaidi aisee KajojoMaisha haya dah, natamani nirudi utotoni
Hey uko powa?3:34
Nipo poaHey uko powa?
Daku tayari sasa muda wa kunisumbua umefika eh? [emoji12][emoji851]
Sent using Jamii Forums mobile app