Hivi kampuni inayotengeneza Bugatti na Lamborghini ni moja?Nlikua na picha ya barua ya Serikali kabisa enye hay malalamikoView attachment 1453753View attachment 1453754
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu baba ako leo nimepigwa buguruni [emoji17]Khaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]huo ujinga usirudie ww
Tofauti kabisa.Hivi kampuni inayotengeneza Bugatti na Lamborghini ni moja?
Kabisa aagize sanitizer kokote nitalipa mm [emoji23][emoji23][emoji23]Pongezi kwa Cookie, huu ndio uzalendo wa kweli.
Kiherehere ukome[emoji38]Acha tu baba ako leo nimepigwa buguruni [emoji17]
Kabisa aagize sanitizer kokote nitalipa mm [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitamuibukia kesho boya yule anajifanya mjanja namtokea atanifidia tu.Kiherehere ukome[emoji38]
Anafanya kaz nje, itakuaMjinga huyu amepata wapi hiyo hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii si budget ya baadhi ya wizara kwa nchi zetu hizi [emoji17]
Yeah Volks Wagon ndio kampuni Mama wanasema, Yani VW Group of Companies ina own hiz Companies na zinafanya kaz IndependentlyHivi kampuni inayotengeneza Bugatti na Lamborghini ni moja?
Hivi mods huwa kuna kustaafu.?
Na ukirudi uraiani unakuwa nani, make wengi wao wanajikuta wameyapatia sana maisha.
Ushapigwa tuliaNitamuibukia kesho boya yule anajifanya mjanja namtokea atanifidia tu.
Wanasahau kama wao wapo kwajili yetu na wanatakiwa kutuhudumia sisi.Vyeo ni dhamana, wengi wao wanavimba sana.
Napenda hiyo kitu kuliko maelezo.soup ya kongoro[emoji38]
Sio kinyonge hivyo kesho ni nginja nginja atanielewa tu vizuri.Ushapigwa tulia
Kosa lake ni nn kwani hapo?Utakula ban soon wachokoze
Sent from my iPhone using JamiiForums