My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,896
Hahahahh Aventedor is another Big Issue Mkuu,Nilijua tu ukitaja lambo hutaacha kusema ni aventador CB, CR7, Quavo wanapush hiko kimeo wapo celebrities wengi tu hao ni baadhi.
Ndio nalinda mananasi[emoji23][emoji23][emoji23] Unakuwa muangaliji tu leo.
Bora uandae huku cm ukiwa umeweka pembeni kabisa. Ukishamaliza njoo lindoniNiandae daku mm huku nikisoma malalamiko ya uongo na kweli[emoji848]
Alaa ndio natangaza nia hazarani hapa maana hata nikipewa kisiri siri bado mtajua tu kuwa fulani ni mod sio siri tena.Kwa unoko huo unaotangaza kabisa hawatakupa[emoji23][emoji23]
Hiyo aliyeiagiza ni mwamba haswa.Hahahahh Aventedor is another Big Issue Mkuu,
Hivi unajua Zambia kuna Buggati Veryron imekuja juzi tuu Around Mwezi wa 2 kwa ndege, Na Serikali naskia wamempiga marufuku sijui nini blah blah kibao ila serikali ilitia neno kuhusu Chuma Ntakuonesha pictures zake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] kwa kweliBora uandae huku cm ukiwa umeweka pembeni kabisa. Ukishamaliza njoo lindoni
Aisee
Ulianza kumuulizia Fatma
Sasa unataka salamu nifikishe ofisini
JamiForums hakuna Mod anayetumia ID ya Farida
Sasa ile inahitaji mtu anayeshinda humu muda wote akiregulate mambo, unaweza wewe?Alaa ndio natangaza nia hazarani hapa maana hata nikipewa kisiri siri bado mtajua tu kuwa fulani ni mod sio siri tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha niongee na cookie kama nafasi ipo niwape ban wasio penda kufuata utaratibu.Wewe ni mwenye visasi kama tu mods wengine, nikwambie tu hutopata nafasi hiyo.
Weka hilo bango mapema sana.Hahahahh Aventedor is another Big Issue Mkuu,
Hivi unajua Zambia kuna Buggati Veryron imekuja juzi tuu Around Mwezi wa 2 kwa ndege, Na Serikali naskia wamempiga marufuku sijui nini blah blah kibao ila serikali ilitia neno kuhusu Chuma Ntakuonesha pictures zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mada ilishafungwa na ulipewa msaada kwenye Private Message
Ndege ilikua ni private na gari ipo mtaani inatembeaHahahahh Aventedor is another Big Issue Mkuu,
Hivi unajua Zambia kuna Buggati Veryron imekuja juzi tuu Around Mwezi wa 2 kwa ndege, Na Serikali naskia wamempiga marufuku sijui nini blah blah kibao ila serikali ilitia neno kuhusu Chuma Ntakuonesha pictures zake
Sent using Jamii Forums mobile app
...Niandae daku mm huku nikisoma malalamiko ya uongo na kweli[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kilikuwa kisanga tu leo.Ndio nalinda mananasi
present[emoji1672]
Tunu nakaaangiza vya kichawi saa hizi
View attachment 1453747JF, administrator