Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,325
Pepo toka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha kukushauri, jitahidi kukemea pepo la usingizi.
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Pepo toka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha kukushauri, jitahidi kukemea pepo la usingizi.
Unaanzaje kwa mfano.[emoji38] unataka nikuletee stor za kusimama kama mti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji54]
Yule sio ww
Ulale SalamaNhoja nilaze kichwa one time, huenda nikarudi mida mibovu. Ila nikipitiliza basi yote heri wakuu.
[emoji23][emoji23] Yani kweli kile ulichonitendea unastahili malipo?
Nakudai hivyo[emoji23][emoji23] Yani kweli kile ulichonitendea unastahili malipo?
Hapana kwakweli maana hata ww kwa ulichonifanyia hustahili malipo kabisa.
Asha boko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi m nitaleta za kwetu tuUnaanzaje kwa mfano.
Saa hii ndio nyimbo [emoji91]The weekend-Heartless[emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya.Siwezi m nitaleta za kwetu tu
Hii album hatarSaa hii ndio nyimbo [emoji91]
Sio poa imevunja record za watu billboardHii album hatar
ohooo pole mkuuMafua na chafya nyingi tu hapa usingizi sina dahh!