Swaga za Wasiojua kutongoza.!Hakika. Maana kwa hadi sasa mtizamo wa watu wengi ni kupambana na maralia kwa kutumia dawa ilihali msabishi msambazaji wa maralia anachukuliwa poa. Nadhani kama isingekuwa usumbufu ambao mbu anatoa kwa binadamu basi vifo vitokanavyo na maralia vingekuwa vingi maana hizi kero zake ndo zinafanya angalau watu watumbuke nae kwa kiasi fulani.
Unajua sisi wenye mawazo kama haya ndo tunafanya nyinyi muinjoi maisha. Kwa mfano wewe ukipata maralia na una gemu mahali ina maana utakosa au uta perform chini ya kiwango. Sasa ili wewe usipate tabu hiyo inabidi sisi tuone ni namna gani maralia inatakomezwa.Swaga za Wasiojua kutongoza.!
Eti Mada ya kuttokomeza malaria usiku huuu kweliiiii...!?
Ni kweli mkuu hata papuchi inaogopa malariaUnajua sisi wenye mawazo kama haya ndo tunafanya nyinyi muinjoi maisha. Kwa mfano wewe ukipata maralia na una gemu mahali ina maana utakosa au uta perform chini ya kiwango. Sasa ili wewe usipate tabu hiyo inabidi sisi tuone ni namna gani maralia inatakomezwa.
😂 😂 😂 😂 😂Ni kweli mkuu hata papuchi inaogopa malaria
Mzee baba Yani bila matiti au mahipsi humu hakunogi😂 😂 😂 😂 😂
Ila lindo la leo halina maua hata halivutii.
Maua yote yamelala, mzee si umwite hata huduma za kifedha aje?
Kuna mmoja nimemuelewa kinona, ana mwandiko flani soft soft. Sema ubaya wa jf unaweza rusha kamba kumbe ni mstaafu.Mzee baba Yani bila matiti au mahipsi humu hakunogi
Nafunga lindo hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Walinzi mpoooo?
Walinzi mpoooo?