JamiiForums Usiku wa manane

Ww si ndo unaitumia af unajikuta bonge la spy kama cia sababu unaeza view status ya mtu bila yeye kujua πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii michezo kwani nafanya pekee yangu basi mbona wengi ww kama unataka kujua matumizi ya GB WhatsApp njoo nikupe hayo sio matumizi mbona bado lengo langu sio hilo umefeli kucheza hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dogo unajikuta umefuzu course ya IT kwa kujua matumizi ya gb whattsap sio.. haya nakuja bobo tuongee zaidi πŸ˜‚
 
Kama unataka gb WhatsApp nikupe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ile siimekata kiovuovu unaficha mavitu tu.
Mkuu nilikuwa na GB whatsapp kabla anti's hazijatengenezwa, now natumia ya kawaida but kila nikidownload hazitaki kufunction. Naweza pata ipi ikafunction fully? Hii ya kawaida inanikera mbayaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…