Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,960
Vp umetoka salama lakini [emoji23][emoji23] hukuvishwa khanga na ww kama na nn?
Sisi ndo wataalamu wewe, siku hizi wanatujua.
Vp umetoka salama lakini [emoji23][emoji23] hukuvishwa khanga na ww kama na nn?
😂😂😂 Mtaalamu wa hizo kazi sio.Sisi ndo wataalamu wewe, siku hizi wanatujua.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaalamu wa hizo kazi sio.
Ikipatikana ni kuitumia tuChangamoto yako sio kubwa kuliko maeneo mengine wao hawana hata kifo kimoja na wanacase chache sana saiz zilizo active ni 35 tu.
Aaah [emoji15] kumbe uko vizuri kwenye hiyo michezo!Mambo za kutoka nje ya mwili na zingine kama hizo, astral projections sijui. [emoji16][emoji16][emoji16]
Usiulize piga vitu watu wa Ulaya wanakunywa ila kisirisiri [emoji23][emoji23]Ikipatikana ni kuitumia tu
Mwezi ndio unaanza hivyo mzee.0036 malindo ya mwishoni mwishoni mwezi huu
ha ha ha ha kupambania uhai ni muhimuUsiulize piga vitu watu wa Ulaya wanakunywa ila kisirisiri [emoji23][emoji23]
we unazani ni wajinga wanasema tu mbele ya camera kuwa dawa sio lakini wanapiga kimya kimya [emoji23][emoji23]ha ha ha ha kupambania uhai ni muhimu
Karibu mzee, lakini hukawii kuacha maagizo ww muda huo huo.Nimerudi.
Kabisa aisee, leo ngoja nimsubiri yule mrembo.Karibu mzee, lakini hukawii kuacha maagizo ww muda huo huo.
Itapendeza ukimsubiria huku ukingoja na daku kabisa.Kabisa aisee, leo ngoja nimsubiri yule mrembo.
Swadakta.Itapendeza ukimsubiria huku ukingoja na daku kabisa.