Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Hamna leo tuh siku nyingine usingizi kama woteMimi mzima
Naona karantini imekufanya uwe mlinzi mzuri [emoji4][emoji4]
😂.. Wakati niliangalia hiyo Avatar yako ndipo nilijua wewe ni fan wa hiyo movieNi movie nilikuwa naangalia sana nikiwa mtt wakati huo TV kuwashiwa mpaka ufanye vurugu sana ndio unaruhusiwa kuangalia movie.
Ipo njema hiyo.. ngoja nikuage in advance
Asante.12:02
Mlinde vyema.
Task inasoma hapa babu nipo mzigoniAcha uwongo! how did you do that? [emoji15] mapema hivi!
Shemeji akirudi utakaa sawa usijali 😊😊Huu ni mwaka wa kukaa lindo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umepanga kufanya nn we mzee.Mzee Super Villain kashfa zako za jana niliziona so jiandae chimbo kwa maelezo zaidi maana hapa sina maisha marefu
[emoji23][emoji23] Vp ujapata dawa ya Madagascar?Huu ni mwaka wa kukaa lindo tu
haya mambo ya kulala mkuu,unaweza kuishiwa pumzi ikawa shidaShemeji akirudi utakaa sawa usijali 😊😊
Ile chepo ilikuzidi nguvu mkuu. Sasa mother house ashakisanua, pole sana .tuendelee kulindahaya mambo ya kulala mkuu,unaweza kuishiwa pumzi ikawa shida
Huwa na change kila muda lakini mm huwa napenda sana villain kuishi hero huwa napenda kuwaona mahero wakiteseka tu kwenye movie.[emoji23].. Wakati niliangalia hiyo Avatar yako ndipo nilijua wewe ni fan wa hiyo movie
Naona mtandaoni tu mkuu,ila sina uhakika kama itafanya kazi kwa 100% kwa sababu hata huko inapotoka wanachangamoto la hili tatizo[emoji23][emoji23] Vp ujapata dawa ya Madagascar?
[emoji23][emoji23] AlaaTask inasoma hapa babu nipo mzigoni
Nilimwambia nn kwani mm? [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si ulitma mbovu kwa mzee wa terminal pub Aladeen04 ..tutaelewana tu [emoji23]
Thanks miss wey