Hajaniteka na hawezi kuniteka ila kuna kipaji chake huyo mtu wa mindu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona unautani na makabila ya watu we mzee.Ww mluguru wa moro
Oya mbona kama mnasuka mission flani ya kunizunguka namna flani hivi. Siwasomi kabisa hapo π‘π‘π‘naona umenificha white na unataka mm nipindue meza sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefeli nyie [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe unawajua mzee.. sasa mkazie huyu jombaa Super Villain
Nipe mbinu mbadala π€£π€£
Oya mbona kama mnasuka mission flani ya kunizunguka namna flani hivi. Siwasomi kabisa hapo π‘π‘π‘
Andia Arie- Purify me
Huyu mzee ni mtata sana alinipa ahadi ya kitu fulani naona jana kani badilika ghafla saiz ananiambia haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchongo mchongo eti dah simissOya mbona kama mnasuka mission flani ya kunizunguka namna flani hivi. Siwasomi kabisa hapo [emoji35][emoji35][emoji35]
Tatizo amekwishaizoea ile newcomer kiasi kwamba haimpi furaha. Ameshamchoka anataka asepe ila si unajua hana pa kwenda?Huyu dogo huwa hasumbui siku akiwa na mood nzuri.. hicho ndo kitonga..komaa nacho
[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah haya mzee wangu umeshinda ww.Em angalia hili jina Mnazareth .. ukijitia jeuri nakuwa myahudi af nakusulubisha tu.. pindua uone
Alikuchota huyo kwao mgeta na bahari ya minduπππ si aliniambia katokea zimbu
Mgeta bhasi Super Villain officcially mluguruAlikuchota huyo kwao mgeta na bahari ya mindu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] LohTatizo amekwishaizoea ile newcomer kiasi kwamba haimpi furaha. Ameshamchoka anataka asepe ila si unajua hana pa kwenda?
Awww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmefeli nyote nyieAlikuchota huyo kwao mgeta na bahari ya mindu
Tatizo amekwishaizoea ile newcomer kiasi kwamba haimpi furaha. Ameshamchoka anataka asepe ila si unajua hana pa kwenda?