πππ hilo jukumu la pili sasa ndio balaa maana haileweki adui amekaa kona gani, kaji-camouflage vipi. One mistake you're dead...Yaani siku hizi tuko kwenye ulinzi endelevu. Tumemaliza lindo la usiku kwa mujibu wa taratibu sasa tunaanza session ya kujilinda na coronavirus
Na kwenye hili lindo unawajibika kuulinda usalama na uhai wako wewe mwenyewe kwanza kwa asilimia100.πππ hilo jukumu la pili sasa ndio balaa maana haileweki adui amekaa kona gani, kaji-camouflage vipi. One mistake you're dead...
πWith all of her, she drives me crazy.
Kabisa maana huyu adui naweza akakufikia kupitia umuaminiye. Majeshi yenye nguvu kabisa duniani pamoja na siraha zao za maangamizi wamemshindwa huyu adui hata kwa umoja wao.Na kwenye hili lindo unawajibika kuulinda usalama na uhai wako wewe mwenyewe kwanza kwa asilimia100.
Hata nikisema nikulipe fyddell unilinde nahatarisha uhai wangu
ππππ
Huyu adui haangalii imani, utaalamu, pesa, teknolojia wala status, yaani ujeuri kwelikweli. Halafu akikamilisha mission yake kile kiutaratibu kinachofuata sio kabisa... wanaobaki ndio wanaoumia zaidi. fyddell take care of yourself and your loved onceKabisa maana huyu adui naweza akakufikia kupitia umuaminiye. Majeshi yenye nguvu kabisa duniani pamoja na siraha zao za maangamizi wamemshindwa huyu adui hata kwa umoja wao.
so it's time to start from self protection to all who around you. Be careful my dear
Dunia inapepesuka, nchi zinatikisika!. Huyu adui sijui nani atafanikiwa kumuangamiza. Atakayefanikiwa itabidi apewe tuzo ya kuokoa dunia na kutangazwa kuwa "The warrior of all nations"Huyu adui haangalii imani, utaalamu, pesa, teknolojia wala status, yaani ujeuri kwelikweli. Halafu akikamilisha mission yake kile kiutaratibu kinachofuata sio kabisa... wanaobaki ndio wanaoumia zaidi. fyddell take care of yourself and your loved once
Shikamoo tena!!!!?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] unajiandaa kuninyima nn DepalShikamoo
πShikamoo tena!!!!?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] unajiandaa kuninyima nn Depal
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona siku hizi umekuwa punctual toke lile kosa la awali hutaki jingine lijitokeze?Namalizia Daku hapa, katibuni, chungu cha saba Leo
Nilijutia Sana sanaMkuu naona siku hizi umekuwa punctual toke lile kosa la awali hutaki jingine lijitokeze?
Mambo ni π₯π₯ full πππ. Kweli ukipendwa pendeka.