Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,081
- 7,056
🤣🤣🤣🤣mlo moja PA day nao mpak uzoe kama ulikuwa mlafi unashushia na kabia ni hatare mzee 😁😁😁Dah...Kama huna mchongo wowote Bora kujilockup tu wimbi lipite....nunua dagaa wako wakavu na kiroba cha unga..mengine ni kujiongeza tu....Usisahau ni mlo mmoja kwa siku.....[emoji2960]
Sent using Beretta ARX160
na tuchape Kaz 😂😂👍Mzee kasema tujifukize
Hapa mjiini unatisha aisee...[emoji23][emoji23][emoji23]kwel kamanda now it seems like tumeuona upo kawaid tu nazan Yale maombi yanajibiwa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji7]
Dah...tahadhari ni muhimu sana...ila kama huna ishu ni Bora ukajifungia tu...maana wengine kwenye mazishi yetu historia itakuwa na mistari mitatu tu....Mzee Corona isikutingishie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] cha muhimu ni kuchukua tahadhari tu. Others life lazima lisonge kama kawa
wengi mzee wamesha kula Kona wamerud makwao uko buseresere namtumbo na maelia mengineHapa mjiini unatisha aisee...
Idadi ya watu kujilock down bila kuambiwa inaongezeka kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁 and who says that 🤔🤔🤔
Hahaha mzee wangu kapiga madogo hawaendi kokote hata dukani.Hapa mjiini unatisha aisee...
Idadi ya watu kujilock down bila kuambiwa inaongezeka kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣 wacha tuwasikilizie watoa data bila shaka watakuja na habari njema. Let's hope for good.yaaap sure kabisa ni Ku take precautions tu za umuhimu zen mambo yanasonga Sema inatishia nn suddenly no update naona kama Kuna kitu iv 🤔🤔🤔anyway it's not my job to do ebu tuchape kazi
Jack P said that😁😁😁 and who says that 🤔🤔🤔
No new victims. After may mosi tunarudi shule 😂😂😂yaaap sure kabisa ni Ku take precautions tu za umuhimu zen mambo yanasonga Sema inatishia nn suddenly no update naona kama Kuna kitu iv 🤔🤔🤔anyway it's not my job to do ebu tuchape kazi
Dah...wiki tu unatoka na kitambi.....halafu unaanza kuimbiwa ..."nikikupea utaniweza?" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mlo moja PA day nao mpak uzoe kama ulikuwa mlafi unashushia na kabia ni hatare mzee [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante mkuu 😁😁👌👌Jack P said that
Nipo mkuuMjep umekimbia
yaaap kabisa walim wajiandae kisaikolojia Sema nn waliko behind the scenes uko jikoni ndio wana hari harisi ukiona wanafunzi hawarud ujue still bado Kwata inacheza uko na corona ndio right markerNo new victims. After may mosi tunarudi shule 😂😂😂
Yes powa kabisaaUko poa?
Mbona ulijibanza huko gizaniNipo mkuu