JamiiForums Usiku wa manane

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu Haifungiki huku ni kijiwe cha usiku kwa ajili ya sisi tuliopewa jukumu la kuangalia usalama wa raia na mali zao. Kule mida ya mchana hivi basi mambo burdani kabisa. Karibu sana mkuu.

Hiyo kona gani mimi sijawahi kukuona ama jukwaa pendwa invisible la watu special πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…