Kwa jinsi nilivyomuona Jean mmh..sidhani. walimpa nguvu nyingi hadi inaboa..Yeah, yupo mtoto wa Reed Richards Mr Fantastic, anaitwa Franklin Richards, Jean Grey hafanyi lolote.
[emoji38][emoji38][emoji38]bangi utaacha lini[emoji23][emoji23] hapana.
Mara nyingine kuna zile sauti zinaongea na roho directly. So kimahaba tony anaongea na mimi yaani
[emoji23][emoji23][emoji23] mm simo ni simiss huyo.[emoji38]nyie manyau wote ni bad company
Kuachia movie kipindi hiki ni risk sana.Kitu imesogezwa mpaka 2021 na Eternal pia..Black widow November View attachment 1429530
Sent using Jamii Forums mobile app
Stan alikuwa ni kila kitu Marvel lazima wayumbe saiz kidogo.
Aisee ngoja niupakue kabisa..
Napenda masong haya ya wazee.
Kama huujui huu hebu usikilize..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimuambukize nn sasa corona au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msimuambukize yule mkaka anaitwa Drizzle
Katekwa na hamida huko.Drizzle mnyamwezi sana.. leo atakuwa anacoronica ila atakuja si muda
Muda utaongea mzee kama Stan hakuwa tegemezi Marvel.Hakua na kila kitu.. alikua na mengi ya Marvel.
Kwa mfano George RR martin yupo anamalizia kitabu cha Wind of Winter. Je akifa leo unadhani hakitatoka kwakua kimekosa wa kumalizia.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mvua hakuna unalalaje mapema hivi?1:02
Niwatakie lindo lenye utulivu.
Yani hii campaign yako bado ujaacha toka jana unataka kunitenganisha na Goddess subira snap zako mzee ulie [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unawajua hawa madogo ?
Walikiwa wanaimba Vatican.
Moto wa kuotea mbali.
Hata mimi !!.. au umesahau nimekukumbusha kufanya yaliyo mema kwa mwezi huu mtukufu[emoji38]nyie manyau wote ni bad company
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haita saidia hiyo nauwezo wa kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli kama mawakili wanavyofanya mahakamani vile.Ukitoa zile snap unakula block kila sehemu. Af inafunguliwa new ID itakayokupa scandle moja matata , issue kama "kuweni makini na mr x, anaambukiza ukimwi makusudi" [emoji23][emoji23]
Ntakuwa nimemaliza kazi