Ninakuamini ila nimeshauri tu. Kama kichwa hakiko poa lazima kuna sababu. Isije ikawa Super Villain kakufanyia mtima nyongo
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Leo utakimbia ww nakuambia ndio mimeamka saa 5 mm.Usisahau kuaga tu
Mate hayo chini π[emoji39]
Kumbe hii kitu iko kwa wengi?[emoji4][emoji4][emoji4] hapa nilitaka kulala mapema tu...kichwa imegoma.ntazima data tu niangalie paa hadu nilale
Sio vitu vyangu hivi mm ndio maana najaribu kuotea tu hapa [emoji17]
Ni jina la wimbo...
Usimwamshe aliyelalaNdio
kuna mtu naomba uniitie..
Kumbe hii kitu iko kwa wengi?
Ubongo umezoea kuwa active kipindi hiki...usingizi utakuja kumeshakucha. Poleee
Kitambaa ni chapamba? Lakini kama sio hiyo hainifai [emoji17]Mie nimeshona ukuje nikupe vipo vingi jilinde bado tunakuhitaji mlinzi mwaminifu
Sio kuna kitu kimoja hivi njoo pm nikuulize.Haha kisa kiegemeo?
Mbaya sana wewe...ungesema .Leo utakimbia ww nakuambia ndio mimeamka saa 5 mm.
Ni jina la wimbo...
Mnangurukulu na Latin America wapi na wapi[emoji23]
Ndio [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] natamani tu pakuchee kazi na dawaUsijali mpaka majogoo utapata hela ya kongoro asubuhi kwanza unakulaga?
Sijacheza foul kabisa leo kwa huyo mzee.Ninakuamini ila nimeshauri tu. Kama kichwa hakiko poa lazima kuna sababu. Isije ikawa Super Villain kakufanyia mtima nyongo
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ndio kwani we unaonaje huko? πππ[emoji15] Huu ndio wali na kabichi?
Kabisa...ni mda tu.Kiasi sio sana.. nimefululiza kama siku tatu ndo maana ila ntakaa sawa tu mbona [emoji4][emoji4]
Raha ya nyama mfupa au hujui hilo [emoji15]?Poa [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hao wahindi sibishi.
Ila nna butcher langu uwa unanunua stake wanakusagia
Ushanitamanisha hivyo dah!Mate hayo chini [emoji2]
Hata kama kichwa anakula baba tu [emoji41]Cha kukaanga lakini