JamiiForums Usiku wa manane

Mara yang ya Kwanzaa kabisa kukesha ilikua boarding Shule

Nikaja kufuruliza kukesha jeshini

Mpaka Leo sijawahi kukesha tena mpka nilione jua ni Kama miaka 5 Sasa [emoji1783][emoji1783]
 
Jana niliota ndoto kwa kiingeza na nilikuwa fluent kweli kweli. nalala sasa, mniombee tena leo niote ndoto kwa lugha ya kibeberu. Maisha matamu sana, yaani napata English class ndotoni.
Halafu cookie ulale leo, utazeeka kwa kukesha kila siku.
Tutaonana kesho tukijaaliwa.
 

Hahaha uote hivyo tena leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…