JamiiForums Usiku wa manane

Hapana mkuu hata watoto nao wana immune ndogo tofauti na like la 14-35. Wao pia wako vulnerable to this disease
Mtu mzima ukipata hile kama una pressure, magonjwa ya moyo, sukari, ukimwi nk.. inakupelekesha sana corona tofauti na mtt anakuwa anapambana nayo corona tupu.
 
Tuombe Mungu tu kilichobaki mzee jana nilisikia na ebola imeanza tena Congo [emoji24]
Like eneo ni la kimkakati kwa mataifa yanayofaidika na rasilimali zinazopatikana pale. Ebola itaendelea kuitafuna Congo mpaka wazungu wenyewe watakapoona inatosha sasa. Hawa jamaa si wazuri kabisa on other side of the coin
 
Kuna siku ilinilazimu kwenda kwenye mizunguko hatarishi yale mawazo nikaanza kuumwa...eti nahisi kabisa maumivu,,,,nikihangaika kumbe stress tuu
Haha kuna watu watapata pressure kwakuwaza kuwa tayari wameupata kumbe mtu kapiga chafya ya kawaida tu. 😁😁
 
Like eneo ni la kimkakati kwa mataifa yanayofaidika na rasilimali zinazopatikana pale. Ebola itaendelea kuitafuna Congo mpaka wazungu wenyewe watakapoona inatosha sasa. Hawa jamaa si wazuri kabisa on other side of the coin
Iko hivi mfano mtu akipata ebola alafu akaja kupona alafu kwa bahati mbaya ukipata ugonjwa wa gono ebola inaamka tena inaanza na upya umeona balaa la virusi sasa [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…