JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] Bado hujui hata system inayoenda lockdown unaijua ww na gharama zake
 

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
ha ha ha mkuu uhai wako uko mikononi mwako kwanza,kwa sababu ilishatokea....cha kufanya kwa sasa ni kujiwekea mkakati wa namna ya kuvuka hii 2020 ukiwa mzima
 
Sizungumzii lockdown... ofcoz lockdown ina negative impact...

Nazunguzmia hiyo kwa nini kutokufunga mipaka mapema...

Ni ubishi wa binadamu wa siku hizi...


Cc: mahondaw
Unafunga mipaka iliuzuie corona? Kenya sindio wakwanza kufungua kiko wapi walifunga kabla hata ya nchi yeyote hapa EA natamani nikuambie na vitu vingine hatakama mpaka ungefungwa hali ingekuwa vile vile lakini acha nikaushe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…