Wameimba kwaya gani hiiAleluya, aleluya, aleluya, aleluya, ale-luya
amefufuka alivyosema.×2
siku hii ya Bwana, tukufu tuifurahie na tuishangilie
Kristu amefufuka ni kweli ni kweli aleluya aleluya
amefufuka kama alivyosema.
hiyo hapo....me napenda lile base na vile wanavyopishana KE&ME
Kisa?
Hahaha,nimekunywa kahawa,usingizi haujiii,nifanyaje??ninywe nini kureverse side efect ya kahawa?Kisa?
Hahaha! Kama sasa hivi huku ni 17PM sina namna blood lazima niishi nao tu.[emoji23][emoji23][emoji23] Basi umevunja sheria za uzi huko kwenu sio usiku wa manane
Hahaha,nimekunywa kahawa,usingizi haujiii,nifanyaje??ninywe nini kureverse side efect ya kahawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gongs K-vant utanishukuru keshoHahaha,nimekunywa kahawa,usingizi haujiii,nifanyaje??ninywe nini kureverse side efect ya kahawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajarudi bado
Dadeeki wote ziiiiiYaani hata sielewi, hebu niangalizie huko Macamerani Parking usikute wame 'Mbonji' mahala.[emoji36][emoji34][emoji35]
Sent using NADA Satellites
Mara ya kwanza kunywa kahawa SAA tano usiku,alafu nikaenda kulalaNi Mara ya Kwanzaa kunywa kahawa ?
Utatusaidia hapa lindoMara ya kwanza kunywa kahawa SAA tano usiku,alafu nikaenda kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeeki wote ziiiii
Achana na habari za kulala Aiseee zinalostisha
Jirani na parking ya Mkurugenzi kuelekea Public washroomZzz... Nipe Location niwafurahishe na Masnapchat[emoji991][emoji1702] Badadaaa.
Sent using NASA Satellites
Basi Kahawa Ya Leo kali ....... Bye Bye [emoji112]Mara ya kwanza kunywa kahawa SAA tano usiku,alafu nikaenda kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani na parking ya Mkurugenzi kuelekea Public washroom
Au ilikua awe na mgeni??Basi Kahawa Ya Leo kali ....... Bye Bye [emoji112]
Dah,natamani ningekuwa mwanafunzi,nipige msuliAu ilikua awe na mgeni??