JamiiForums Usiku wa manane

Yalivyonifanyia mapenzi nisije anguka oooh kila siku mimi wakuyasujudu sitaki kurudia hiyo hali kachala wa nguvu kuparamia paramia mwenzenu naomba nikome Mapenzi rungu mwiba likikupata sumu halina tiba mwenzenu nimekoma kuapaparukia haja zangu
.
Huwezi amini nilidanganywa kuwa niko peke yangu
 
Loh pole mzee wangu hawa viumbe ni pasua kichwa.
 
Mkuu naona unavuta waya kijanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…