JamiiForums Usiku wa manane

It's been too long and im lost without you
What am i gonna do
Said i been needing , wanting you
Wondering if you are the same and who's been with you
Is your heart still mine
I wanna cry sometimes
I miss you [emoji4][emoji4]
 
Katika yote unayopitia ikiwa bado una afya njema amini utavuka vikwazo na utafanikiwa. Usikate tamaa
 
Sijui kwa nini huwa napata hizi feelings lakini brother..
you need this to grow nd ukifikia hiyo stage unaiona dunia kwa uhalisia wake.. ukitoka hapo hutorudi nyuma tena "TRUST ME"

Stay strong brother maana hii issue imetuaffect wengi sana pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…