Tatizo unachimba sana.. back then tulikuwa tunatoka mbali to dsm so tulikuwa tunalala moro kwa bus.. asa mnajikuta mpo wengi mnaona kuliko kulala ni kheri mzunguke so ndo kuona mengialaa hutaki kunyoosha maelezo basi mm najua ulichofuata huo usiku [emoji38] [emoji38]
Nilishakutana na kademu kako bomba kinoma afu kakaniambia tukapoekumbukumbu pale sina kwakweli [emoji38][emoji38]
we mzee π π π mkaonge PM basiEndelea tuu dear, itakuwa vijana walifata sabuni waje kupiga selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaa wacha we!Hakuna kitu kibaya miss... Enjoy yo night [emoji4][emoji4]
Nilishakutana na kademu kako bomba kinoma afu kakaniambia tukapoe
kwa buku mbili zile show za off target.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu nzuri sana plus ina vimiji vingi vingi..next jitahidi
Hiyo ni kweli mkuu maana hata sisi tulishakuwaga crew kipindi cha nyuma .Tatizo unachimba sana.. back then tulikuwa tunatoka mbali to dsm so tulikuwa tunalala moro kwa bus.. asa mnajikuta mpo wengi mnaona kuliko kulala ni kheri mzunguke so ndo kuona mengi
kwahiyo hukujisevia?Tatizo unachimba sana.. back then tulikuwa tunatoka mbali to dsm so tulikuwa tunalala moro kwa bus.. asa mnajikuta mpo wengi mnaona kuliko kulala ni kheri mzunguke so ndo kuona mengi
Oya mkuu unajua nimecheka kwa sauti.we mzee [emoji38] [emoji38] [emoji38] mkaonge PM basi
SawaSehemu nzuri sana plus ina vimiji vingi vingi..next jitahidi
π€£ π€£ π€£ π€£ fanya hivyo sasa mm sichukuimaelezo tena mzee wangu.
Ulianza ununuzi kitambo mzee... list unajaza behewa mbili za train na mwendo kasi mojaAh mkuu lilikuwa ni suala la makilometre maana sikuwa na mwenyeji kwa pande za center.
Mara nyingi ilikuwa kipindi tukifunga shule ndio nilikuwa naingia kupiga misele kwa pande hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ila ukiwa na roho ndogo sio poa..kwahiyo hukujisevia?
hiHellow!
Ila kwa sasa nasikia pale walishafukuzwa.Ulianza ununuzi kitambo mzee... list unajaza behewa mbili za train na mwendo kasi moja
hukunasa kweli ww π π πHapana ila ukiwa na roho ndogo sio poa..
kwanza tu walipotuona people kama sita tumechukua meza na kuagiza menyu af mishale ya saa sita to saba hivi, hiyo mitego af majimamaaaa [emoji40][emoji40]
Mambo mkuu,Happy Easter
Ila ile mitaa yote sio mkuu.. hata wakifukuza chimbo ni nyingi