Hahaha [emoji23]Rafki yangu alinionesha dogo aliekabidhiwa kumpigia tution.. kamenyoa kiduku, dela kamelichomekea mahali flani af mzigo yarabi.. nkamuambia brother hata usiposema nimeshaelewa kinachoendelea [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 nakumbuka mbali sana dah nawish kuna mtu angekuwepo leo angeongea sana kuhusu hapo kilakala.
Bhasi ni hobby yako [emoji4][emoji4][emoji4]Ooh inawezakana ikawa sababu hiyo
Mimi nilienda mara tatu ila bado nipo hyper vile vile
Hahaha eti damu ya kipare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh yaani hapafai pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakumbuka mbali sana dah nawish kuna mtu angekuwepo leo angeongea sana kuhusu hapo kilakala.
achana na hivyo visiwa hamna kitu nenda Trinidad and Tobago ukale bata ww.Bhasi ni hobby yako [emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi kutembelea mbuga labda nipite nikisafiri.. vingine vitajiset tukipata mpunga wa kutupeleka hawaii, bahamas au hata zanzbar
nimekumbuka miaka 4 iliopoita 🤣 🤣 🤣
We jombaaa mbona una hatari [emoji40][emoji40][emoji40]
Napendelea kusafiri ndioBhasi ni hobby yako [emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi kutembelea mbuga labda nipite nikisafiri.. vingine vitajiset tukipata mpunga wa kutupeleka hawaii, bahamas au hata zanzbar
vip kuhusu ibiza na copa cabana?achana na hivyo visiwa hamna kitu nenda Trinidad and Tobago ukale bata ww.
Uliishi kilakalanimekumbuka miaka 4 iliopoita [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
huko sipo mkiendelea nitaenda kulala mm 🤣🤣🤣We jombaaa mbona una hatari [emoji40][emoji40][emoji40]
Ah mkuu ilikuwa kitambo kidogo.We jombaaa mbona una hatari [emoji40][emoji40][emoji40]
Ah mkuu tunakumbushia enzi kidogo.huko sipo mkiendelea nitaenda kulala mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko ndio kwenye bata sasa unazani mpaka Mike Posner anaimba huu wimbo unazani ni mjinga [emoji116]vip kuhusu ibiza na copa cabana?
Afu ukizingatia hapo copa watoto wa kibrazil wale wa miss bum bum utawakuta hapo.Sidhani kama kuna kutoka salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
My thing
Niwekee Deep river womna ya lionel richie
Morogoro kila eneo la mjini nalijua vizuri nimesoma mjini mm miaka 10 nk.. Kilakala sio kabisa sehemu nzuri kuna kila aina ya uchafu.Uliishi kilakala
Nilienda kusuka nikaambiwa mambo kuhusu eneo hilo .
Sent using Jamii Forums mobile app