Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hukupewa maswali konki ww acha kabisa kuhusu Bible mzee.Mm sikupata hiyo bahati kusoma Shule. Mafundisho ya ukatukumeni yanachukua muda wa miaka 2 ili mtu kua tayari kufanya mtihani na kupewa komonio.
Mimi nilifuata wiki 2 ambapo nilihudhuria siku 5 tu kutokana na shule. Luckily nikapasua kushinda waliofuata 2yrs
Komunio/Komunyo/Communion sakramenti..Fafanua kidogo please....ukatukumeni kwa jina rahisi ni mafundisho yapi? Hiyo komunio ni ile ya kwenye sakramenti za kanisa?
Usiniambie unampenda @magojwa mtambuka jingalao na elitwegeJukwaa letu hili saa hizi hakuna wanafiki. Yaani huu Uzi wote tunapendana kama Wavuta bangi
Saa ngapi ili nilog out??Nikienda inbox nitakuwa mnafiki...tutakutana hapa jukwaani
[emoji23][emoji23] Usinitoe chambo mzee.Humu hawakupati mpaka waiguse shield yetu Max vinginevyo jia
Trust me..Hukupewa maswali konki ww acha kabisa kuhusu Bible mzee.
Aiseee wale ndugu zake Yuda sina undugu nao utaacha pombe yangu iishe. Hebu ionee huruma pombe kama hutaki kuionea huruma MimiUsiniambie unampenda @magojwa mtambuka jingalao na elitwege
Alaa na jina la utume umeshajipa mzee wangu [emoji23]Sio Manisa, sema huduma ya Maombi na Maombezi kwa Mtume na Nabii Elli
Komunio/Komunyo/Communion sakramenti..
Hii wanapewa watoto wa kuanzia darasa la 6 au 5.
Sasa sisi watu wazima tuliochelewa kubatizwa (mimi nilibatizwa utotoni),waliochelewa kupata sakramenti ya kipaimara na komunio hua kuna mafundisho yake yanaitwa Wakatukumeni..Unafuata kwa muda wa miaka 2 kujifunza imani ya kanisa katoliki. Ili kujua umeiva hua kuna mitihani after 2yrs. Ukifaulu ndio unapewa komunyo/kipaimra (Ubarikiwa)
Hata sijali kabisa kuhusu korona..Ooh itakuwa hivyo basi
Hata kama una mafua makali hivyo na corona inatisha amini Mungu atapigania afya yako .
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa ngapi ili nilog out??
Ni kweli hata mm baadhi ya wadogo zangu wamepata wakiwa darasa la 4 wengine la 3.Aisee ndio nimejua Leo....shukrani sana
Komunyio mbona nilipata nikiwa na miaka 8 tena nilichelewa wenzangu walipata wakiwa na miaka 7(darasa la 3)
Anyway...utaratibu waweza kutofautiana na mahali ulipo.
Aaaagh wapiUsijali...ukiamka...kabla ya kulala
Ni kweli hata mm baadhi ya wadogo zangu wamepata wakiwa darasa la 4 wengine la 3.
Mimi nimepata April 4 mkesha wa pasaka miaka kadhaa iliyopita
Mambo ya wafilistine huko mara unapigwa kwakina Daudi huku mara unapigwa wafalme, hesabu ujakaa sawa unakutana na wakina mtume Barnaba na Paulo acha tu.Trust me..
Usiombe vitu vya wakatoliki hua hawabahatishi unajua na hawana lelemama kwenye mafundisho yao. Unaulizwa vitu konkii ukizingatia sisi ni watu wazima.
Labda uulize siri ya kufaulu ilikua nini!
Ooohhooohh,,,,,!!!!!Aaaagh wapi
Sema wale Jamaa hawakua na utani Kabisa. Akisema utakufa utakufa kweli. DahAlaa na jina la utume umeshajipa mzee wangu [emoji23]
Mtume Elia alikuwa ni muoga sana sijui unajua hili lakini [emoji23][emoji23][emoji23]
Katekisimu hakuna msingi hapo.Nahisi wangeifanya tuipate ukubwani...tunakuwa tumekomaa...maana mimi nilimeza katekisimu kipindi kile...kwa sasa sikumbuki mengi
Ntakukana kama PetroOoohhooohh,,,,,!!!!!
Katekisimu hakuna msingi hapo.