Fm Pub[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Bora mmefika Mimi ngoja niwaache.[emoji351] walinzi amkeniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ubarikiwe sana.Nilipotea sana maeneo haya.
Nimekuja kumsalimia Rowin tu kwa leo kwa nafasi ya upendeleo.
Kesho nitarudi kusalimia mabaharia wengine kama Super Villain et al.
Salama.Ubarikiwe sana.
Salama lakini?
What's up buddy?Nilipotea sana maeneo haya.
Nimekuja kumsalimia Rowin tu kwa leo kwa nafasi ya upendeleo.
Kesho nitarudi kusalimia mabaharia wengine kama Super Villain et al.
We uko wapi
Hahahaha, mukubwa ndio nafika kwa fasi yangu ,nianze kutumika mu kaziSi vibaya pia nikimsalimia muzee yangu ya mujini Papaa mtu chake .
Nakutafuta sikuoni