JamiiForums Usiku wa manane

Siku hizi nalala kisa usingizi umetaka..sio mm kutaka. Hivi kweli usingizi unanipangia muda wa kulala mimi!!!??? Wakati sio kawaida yangu
Mimi ikitokeaga hili hiyo huwa napretend kama nafanya meditation hasa ya namba baada ya muda napitiwa na usingizi. Tumia cheat codes mzee, Insomnia sio poa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…